Kafala ni nini, mfumo tata wa ajira ya udhamini ambao ‘huwafanya’ watu kuwa watumwa

Alidhani amepata ajira ya ndoto yake , lakini aliishia kuwa mhanga wa kufanyishwa kazi bila malipo.

thenkosi Dyonta, muuza kahawa mwenye miaka 30, alifanya kazi katika mgahawa mmoja mjini George Town, sehemu maarufu inayopendwa na watalii nchini mwake Afrika kusini.

Kijana huyo alikuwa akipenda sana kushirikisha kwenye Facebook "sanaa yake ya latte,"uchoraji unaofanywa kwa kutumia maziwa juu ya kahawa ambao pia hufanywa na wauzaji kahawa wenzake katika kundi lao Facebook.

Ni katika ukumbi huo ambapo mwanamke mmoja aliwasilaina naye na kumpatia nafasi ya ajira nchini Oman.

Swahili | October 9, 2021

COMMENTS

SUPPORT OUR WORK

We depend on your donation to fight for domestic workers in Lebanon.